AIC Chang'ombe Choir (CVC)
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
  • 60
  • 22 588 499
AIC Chang'ombe Choir (CVC) - MSIKILIZE ROHO (Official Live Video)
#,MSIKILIZE ROHO ni wimbo wa Tisa katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam.
Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
Tunaamini wimbo huu utaenda kukusaidia kuisikia sauti ya MUNGU. MUNGU AKUBARIKI.
LYRICS
MSIKILIZE ROHO
Msikilize Roho wa MUNGU
Anavyo fundisha
Roho wa MUNGU ufundisha unyenyekevu
Roho wa MUNGU ufundisha kuwa na hekima
Upole, uelekevu, kutenda mema
Uvumilivu, kuishinda dhambi
Kushukuru kwa kila jambo
Kuwa samehe waliokukosea
Mwanadamu, mwanadamu, Mwanadamu
tembea na neema hii
Kwakuwa Muda sasa upo
YESU yupo kazini
Watenda kazi wake wapo kazini
Kungari muda sasa upo
Msikilize Roho
Msikilize MUNGU
Lisikilize neno lake
Usije shikwa na dhambi
Usije shikwa na mwovu
Usije shikwa na adui
Usije shikwa na dunia
Kungari muda sasa upo msikilize Roho
Msikilize MUNGU
Lisikilize neno lake
Kuna watu wamesahau
Kuwa MUNGU ndiye muumbaji
Wamesahau kuwa ndiye aliyeumba
Dunia na vyote
Wanatenda dhambi bila hata woga
Wamekuwa kama watu wa sodoma na gomora
Walitenda dhambi bila hata woga
Wakaiinua hasira ya MUNGU
Wakamkasirisha MUNGU
Walitenda dhambi bila hata woga
Watu wajifunze kupitia wewe MUNGU
Uinuliwe, U heshimiwe, Na usifiwe, BWANA MUNGU
Special Thanks
AICT CHANG'OMBE CHURCH
Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje
CREDITS.
Song writer - Barthrolomew Magulu
AICT Chang'ombe Church
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
MUSIC DEPARTMENT
Music Team - Benjamin Makolobela (MD,MAIN KEYS)
Elisha Gurlaty (AUX 1)
Elia Mahuna (AUX 3)
Onesmo Peter (AUX 2)
Nestory Ntogwa(BASS)
Jeremiah Madaha (LEAD GUITAR)
Mayala Bubele (TRUMPET)
Charles Stenson (TROMBONE)
Meshack Wilson (TROMBONE)
Eliya Makaya (ALTO SAX)
Raphael Luhende (ALTO SAX)
Samson Mathew (DRUMS)
Video production - CVC Media
Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha
Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited
Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro
Переглядів: 42 086

Відео

AIC Chang'ombe Choir (CVC) - TUMETUMWA (Official Live Video)
Переглядів 36 тис.14 днів тому
#,TUMETUMWA ni wimbo wa Nane katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam. Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu. Tunaamini wimbo huu utaenda kubadilisha maisha yako, katika changamoto zozote usikate tamaa maana MUN...
AIC Chang'ombe Choir (CVC) ft. John Kavishe - SAYUNI (Official Live Video)
Переглядів 55 тис.Місяць тому
#,SAYUNI ni wimbo wa Saba katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam. Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu. Tunaamini wimbo huu utaenda kubadilisha maisha yako,MUNGU AKUBARIKI. LYRICS SAYUNI Inuka baba, mama Inuk...
AIC Chang'ombe Choir (CVC) - NARUDI KUKUSHUKURU (Official Live Video)
Переглядів 109 тис.3 місяці тому
#NARUDI KUKUSHUKURU , ni wimbo wa Sita katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam. Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu. Tunaamini wimbo huu utaenda kubadilisha maisha yako, MUNGU ametuvusha na mambo mengi tunapa...
AIC Chang'ombe Choir (CVC) ft. Joel Lwaga - HABARI NJEMA (Official Live Video)
Переглядів 109 тис.4 місяці тому
#HABARI NJEMA, ni wimbo wa Tano katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam. Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu. Tunaamini wimbo huu utaenda kubadilisha maisha yako, huu ni mwaka wa kubadili historia yale yote y...
AIC Chang'ombe Choir (CVC) ft. Zoravo - KILA ULIMI (Official Live Video)
Переглядів 275 тис.4 місяці тому
#KILA ULIMI, ni wimbo wa Nne katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam. Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu. Tunaamini wimbo huu utaenda kufanyika Baraka katika maisha yako. MUNGU AKUBARIKI. LYRICS Iweni na nia...
AIC Chang'ombe Choir (CVC) - MOYO (Official Live Video)
Переглядів 342 тис.5 місяців тому
#MOYO, ni wimbo wa Tatu katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam. Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu. Tunaamini wimbo huu utaenda kufanyika Baraka katika maisha yako. MUNGU AKUBARIKI. LYRICS Kama machozi yang...
AIC Chang'ombe Choir (CVC) - MWOKOZI (Official Live Video)
Переглядів 138 тис.6 місяців тому
#MWOKOZI, wimbo wa Pili katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam. Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu. Tunaamini wimbo huu utaenda kufanyika Baraka katika maisha yako. MUNGU AKUBARIKI. LYRICS: Ee ni wewe Mwoko...
AIC Chang'ombe Choir (CVC) - ELOHIM (Official Live Video)
Переглядів 931 тис.7 місяців тому
#ELOHIM, wimbo wa kwanza katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam. Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu. Tunaamini wimbo huu utaenda kuwa muongozo wako katika kumshukuru Mungu kwa yale mambo makuu aliyokutendea...
AICT Chang'ombe Choir (CVC) - Patakatifu (Official Music Video)
Переглядів 106 тис.Рік тому
Shalom Mpendwa Katika Bwana! Tumekuletea baraka nyingine tena kwako (neno kwa njia ya uimbaji). Patakatifu ni wimbo ambao unaelezea utukufu wa Mungu aketiye mahali palipoinuka mno. Ubarikiwe na wimbo huu kutoka AICT Chang'ombe Choir (CVC). #patakatifu #cvc PATAKATIFU Wote : Baba yetu uliye mbinguni Jina lako litukuzwe, litukuzwe Ufalme wako uje, mapenzi yako yatimizwe Hapa duniani kama huko mbi...
AICT Chang’ombe Choir - Saa ya Mwisho (Official Music Video)
Переглядів 265 тис.Рік тому
AICT Chang’ombe Choir - Saa ya Mwisho (Official Music Video)
AICT Chang'ombe Choir - Kilio (Official Music Video)
Переглядів 110 тис.3 роки тому
AICT Chang'ombe Choir - Kilio (Official Music Video)
AICT CHANG'OMBE CHOIR (CVC)- KWAHERI MAGUFULI
Переглядів 309 тис.3 роки тому
AICT CHANG'OMBE CHOIR (CVC)- KWAHERI MAGUFULI
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC YERUSALEM ORIGINAL 2020
Переглядів 235 тис.3 роки тому
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC YERUSALEM ORIGINAL 2020
CVC
Переглядів 10 тис.3 роки тому
CVC
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC TUNAOMBA BWANA 2020
Переглядів 93 тис.3 роки тому
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC TUNAOMBA BWANA 2020
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC SIRI YAKO 2020
Переглядів 892 тис.3 роки тому
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC SIRI YAKO 2020
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC UTUKUFU ORIGINAL 2020
Переглядів 1,4 млн3 роки тому
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC UTUKUFU ORIGINAL 2020
AICT Chang'ombe Choir - Nafsi (Official Music Video)
Переглядів 1,9 млн4 роки тому
AICT Chang'ombe Choir - Nafsi (Official Music Video)
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC MUNGU AKISEMA NDIYO ORIGINAL 2020
Переглядів 755 тис.4 роки тому
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC MUNGU AKISEMA NDIYO ORIGINAL 2020
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC UKO WAPI ADAMU ORIGINAL 2020
Переглядів 870 тис.4 роки тому
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC UKO WAPI ADAMU ORIGINAL 2020
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC TUMEUONA ORIGINAL 2020
Переглядів 343 тис.4 роки тому
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC TUMEUONA ORIGINAL 2020
AICT Chang'ombe Choir (CVC) - Tukubali Kufundishwa
Переглядів 335 тис.4 роки тому
AICT Chang'ombe Choir (CVC) - Tukubali Kufundishwa
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC JENGWA ORIGINAL
Переглядів 1,1 млн4 роки тому
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC JENGWA ORIGINAL
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC JIWE KUU LA PEMBENI ORIGINAL 2020
Переглядів 1,3 млн4 роки тому
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC JIWE KUU LA PEMBENI ORIGINAL 2020
AICT Chang'ombe Choir(CVC) - Siku Za Mwanadamu
Переглядів 604 тис.4 роки тому
AICT Chang'ombe Choir(CVC) - Siku Za Mwanadamu
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC NAYE NI NANI ORIGINAL
Переглядів 218 тис.4 роки тому
AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC NAYE NI NANI ORIGINAL
CHANG'OMBE CHOIR CVC UFALME Original
Переглядів 431 тис.4 роки тому
CHANG'OMBE CHOIR CVC UFALME Original
AICT Chang’ombe Choir (CVC) - Wastahili Official Music Video
Переглядів 55 тис.4 роки тому
AICT Chang’ombe Choir (CVC) - Wastahili Official Music Video
AICT Chang'ombe Choir (CVC) KILA MWENYE PUMZI Original
Переглядів 1,1 млн4 роки тому
AICT Chang'ombe Choir (CVC) KILA MWENYE PUMZI Original

КОМЕНТАРІ

  • @user-gb4dp7kk2q
    @user-gb4dp7kk2q 7 годин тому

    That young boy in the choir already. Keep up mahn💪

  • @loycedavid8352
    @loycedavid8352 7 годин тому

    Waoooo

  • @kateemakuthu7733
    @kateemakuthu7733 8 годин тому

    Blessing song kusema na kutenda

  • @ruthaishengoma2907
    @ruthaishengoma2907 11 годин тому

    Congratulations changombe

  • @FaithKalui-i7i
    @FaithKalui-i7i 11 годин тому

    ❤❤

  • @mayalajbubele9696
    @mayalajbubele9696 22 години тому

    🎉😊

  • @Jascar-w6t
    @Jascar-w6t День тому

    Wow that's great❤

  • @mussaamos2712
    @mussaamos2712 День тому

    Video zenu za zamani ni nzuri kuliko hizi

  • @MoïseRugira
    @MoïseRugira 2 дні тому

    Nime barikiwa sana kwa hi nyimbo nzuri

  • @RuthBabu-uv2kq
    @RuthBabu-uv2kq 3 дні тому

    HalleluYah

  • @HonoréBazibuhe
    @HonoréBazibuhe 3 дні тому

    Naupenda sana wimbo huu unao nijenga kiroho❤

  • @arthursikazwe6140
    @arthursikazwe6140 3 дні тому

    This is Great 👍 👌 👏

  • @boazphillip4019
    @boazphillip4019 3 дні тому

    Tumetumwa na Mungu❤

  • @boazphillip4019
    @boazphillip4019 3 дні тому

    Amina watumishi wa Mungu

  • @babranafula7592
    @babranafula7592 4 дні тому

    ❤❤

  • @rufusjr2544
    @rufusjr2544 4 дні тому

    This is just unbelievable and I am just loving the vibe, this sums up what is inside my heart , God I might be stubborn sometimes but please have mercy on me because i am limited in countless ways. Thank you Elohim 🙏💯

  • @user-zn5nk3ec6e
    @user-zn5nk3ec6e 4 дні тому

    Indeed you're a mazing God where we're now it's by your grace and favor❤❤🙏🙏

  • @user-zn5nk3ec6e
    @user-zn5nk3ec6e 4 дні тому

    ❤❤❤❤

  • @jiganganyorobi2331
    @jiganganyorobi2331 4 дні тому

    Kazi kubwa sana Mungu na aendelee kutoa maono ya nyimbo za mfumo huu zinazogusa wakaao duniani na mbinguni 🎉

  • @AkandoGerald
    @AkandoGerald 4 дні тому

    Ni fireeeeeeeee Nabarikiwa na hii kwaya ❤

  • @marymlata6471
    @marymlata6471 5 днів тому

    Nabarikiwa sana sana Mungu awabariki nyote

  • @EvelinaEdison-j1z
    @EvelinaEdison-j1z 5 днів тому

    😢mungu awabariki kwa wimbo mzuri🎉🎉🎉

  • @fedrickyohana7433
    @fedrickyohana7433 5 днів тому

    Joel chuma Cha kupola milima😂saluti kwa YESU

  • @timothstephano3128
    @timothstephano3128 5 днів тому

    Brother joel my roal modal✊✊✊ GOD Bless you

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 6 днів тому

    Wale wamama wengine wawili bado! atleast sasa moyo umesuuzika kumwona Lidya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 6 днів тому

    Lidyaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mx_o2x65
    @mx_o2x65 6 днів тому

    Africa songs❤

  • @user-ky4yh1ou2h
    @user-ky4yh1ou2h 6 днів тому

    Aic chang’ombe huwa nawaelewa sana kila nikiingia you tube lazima niangalie ka mna nyimbo mpya in short Mungu awabariki jmn

  • @salomejohn4507
    @salomejohn4507 6 днів тому

    Mungu azidi kuwainua zaidi naipenda sana CVC

  • @user-gl2gr2ey3x
    @user-gl2gr2ey3x 6 днів тому

    Team august gether here....Linda moyo wako MITHALI 4:23

  • @isackobadiah484
    @isackobadiah484 6 днів тому

    Mungu Azidi Kuwabariki Kwa Nyimbo Zenu Nzurii👏👏

  • @RehemClement
    @RehemClement 6 днів тому

    Mungu wangu nifute machozi yangu nibaki salama🙏

  • @JaneChissawilo-dr7nn
    @JaneChissawilo-dr7nn 7 днів тому

    Yaani hapa ndiyo mliimba hapa!!

  • @rachisomondi356
    @rachisomondi356 7 днів тому

    I really touched by your songs. Getting you loud and clear from Kenya. Mungu awainue kwa kazi yake

  • @DeogratiasRevocatus
    @DeogratiasRevocatus 7 днів тому

    tunawapenda sana nyie nakaz zenu mungu awajalie zaid

  • @user-nl5lg8lx5d
    @user-nl5lg8lx5d 7 днів тому

    Lydia kashimba huwa unaupako sana unaimba kwa hisia kali sana#MSIKILIZE ROHO#❤❤❤❤

  • @user-nr1gh2vu9z
    @user-nr1gh2vu9z 7 днів тому

    It's great commission from the heaven Asante 🙏🙏

  • @MARTHAKAZEMBE-q4o
    @MARTHAKAZEMBE-q4o 7 днів тому

    Tulitoka tiktok. Kuutafuta huu wimbo tupo hapa lovely

  • @RodaKazioba
    @RodaKazioba 7 днів тому

    Hii ndio CVC sasa

  • @mellissaking9762
    @mellissaking9762 7 днів тому

    🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @DautuuSaidlove
    @DautuuSaidlove 7 днів тому

    amen

  • @titusamukune6418
    @titusamukune6418 7 днів тому

    Mungu awape nguvu saidi kazi nzuri

  • @user-zk6mx6de3q
    @user-zk6mx6de3q 8 днів тому

    Disi nimekuona mdg wangu

  • @ruthwangari2541
    @ruthwangari2541 8 днів тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @MeshackKija
    @MeshackKija 8 днів тому

    Amen amen amen watumishi wa MUNGU nawapenda Sana mama angu Lydia ,bahati,Dianna inatakiwa one day msollo wote hakika itapendezea

  • @isackobadiah484
    @isackobadiah484 8 днів тому

    Hakika Nabarikiwa Sana na Wimbo Huu wa Tumetumwa.

  • @AICRamisi
    @AICRamisi 8 днів тому

    Bendera ya Yesu juu Wimbo wa baraka Neema izidi Kenya tunawapenda❤

  • @nellymaiyo5548
    @nellymaiyo5548 9 днів тому

    Amen Amen Amen🙏🙏 love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ev.josephatobwocha2109
    @ev.josephatobwocha2109 9 днів тому

    wimbo hu unanigusa moyo nitaulinda moyo kuliko vwote nilindavwo

  • @shadrackjason-u2d
    @shadrackjason-u2d 9 днів тому

    Wimbi huu ni ushuhuda wa wakristo wengi hasa baada ya mapito na pingamizi za shetani maishani Mungu awabariki Sana kwa number huu